Huyu ni kaka Ahmed Michuzi (Michuzijunior) wa KUJIACHIA anawatakia Pasaka njema wadau wote mnaoblog na kutembelea Blog mbalimbali popote mlipo Duniani kama unavyomuona akiwa amepozi katika picha aliyopiga kwenye bustani ya kiwanja kipya cha Clouds Radio kilichopo Mikocheni au makao mapya, na sisi FULLSHANGWE kama wadau wa Kublog tunaungana naye kuwatakieni pasaka njema na mungu awajalie na kuwaepusha na mabalaa yote wakati huu wa sikukuu ya Pasaka tuko pamoja ili kupashana habari na kuelimishana wadau wote asanteni sana Kamanda mshika Camera wa FULLSHANGWE ambaye haonekani mara nyingi.
WANA WA KUBLOG WATUMA SALAMU ZA PASAKA!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment