MILIONEA ATAKAYEVUNA MILIONI 100 ZA VODACOM KUPATIKANA JUNI!!

Katikati ni meneja wa Udhamini na mawasiliano wa Vodacom George Rwehumbiza kushoto Boniface Emmanuel meneja bidhaa na kulia ni Elihuruma Ngowi muneja huduma na Bidhaa wote kwa pamoja wakionyesha bango lenye maneno ya tuzo droo ya milioni mia moja inayotarajiwa kumpata mshindi mwezi wa sita mwaka huu aqmbapo katika kipindi cha miezi 11 iliyopita Vodacom imeshatoa zawadi za zaidi ya Bilioni moja. Hii ndiyo nembo ya Tuzo Millionaire droo hiyo ya shilingi milioni mia moja inayotarajiwa kufikia ukingoni na kumpata mshindi mwezi wa sita mwaka huu.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment