DR. MWINYI AKUTANA NA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE NA ULINZI!!

Waziri wa ulinzi na kujenga taifa Mh. Dr. Hussein Mwinyi akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kukutana na kamati ya Bunge ya mambo ya nje ulinzi na usalama leo jijini Dar es alaam kulia ni mnadhimu mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo picha na Aron Msigwa wa Idara ya Habari Maelezo

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment