JAKAYA KIKWETE AHUDHURIA IBADA YA KUMUOMBEA MZEE SHABAN KHAMIS MLOO!!

Rais Jakaya Kikwete akiongozana na mwenyekiti wa Chama cha CUF Mh. Ibrahim Lipumba kushoto na katibu mkuu wa chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad kulia wakati wakitoka kwenye ukumbi hoteli ya Lamada ambako ndiko kulikofanyika Ibada ya kumuombea Marehemu Shaban Khamis Mloo aliyefariki
hivi karibuni Rais kikwete alikuwa mgeni rasmi katika shughuli hiyo

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment