Wafanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Zain Tanzania, Mratibu wa Maendeleo ya Biashara Tabora, Galus Mgawe (wa pili kushoto) na Alice Paulsen wakitoa zawadi ya simu kwa kikundi cha wanawake wa mjini Musoma juzi, ikiwa ni sehemu ya matukio ya kuadhimisha wiki ya 'Shangwe na Zain' ya kupeleka chapa ya Zain kwa wananchi katika mikoa mbalimbali nchini.
ZAIN YAGAWA SIMU MUSOMA!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment