MH. PINDA AMTEMBELEA ABBAS KANDORO!!

Waziri Mkuu, Mh. Mizengo Pinda akimjulia hali Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Abbas Kandoro ambaye amerejea nchini hivi karibuni akitokea India kwa matibabu, ni muda umepita Mh. Kandoro hajaonekana, kumbe alikuwa katika matibabu India. Pole sana Mh Kandoro.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment