Thami kushoto na Hazel wakipozi mbele ya Camera ya FULLSHANGWE katika Hotel ya Golden Tulip jana jioni mara baada ya kuwasili mchana wakitokea Afrika ya kusini.
Washiriki wa Bigbrother kutoka kushoto Afrika Kusini na Malawi wakiwa na wenyeji wao kutoka kulia ni Thami, Grace Ruhinda Mhariri mkuu wa Jarida la Bang, dada Bupe ambaye ndiyo anaratibu ziara yao Hazel kutoka Malawi na mwisho ni mshiriki mwenzao wa Bigbrother mtanzania Ratoya Thami na Hazel wako nchini kwa ziara binafsi na watatembelea Bagamoyo na Zanzibar na kukutana na mashabiki wao kwa ajili ya kubadilishana mawazo na kupiga picha.
0 comments:
Post a Comment