RAIS KARUME AONGOZA MKUTANO UNAOJADILI UWEKEZAJI AFRIKA MASHARIKI!!


Rais Abeid Amani Karume wa Zanzibar akipewa taarifa ya mkutano na Mh. Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mwanaid S. Maajar Rais Karume ataongoza mkutano huo ambao utajadili uwekezaji kwa nchi za Afrika mashariki unaojumuisha mawaziri na wajumbe mbalimbali kutoka Tanzania unaofanyika katika ukumbi wa Guildahall London kuanzia leo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment