WASHIRIKI WA BIGBROTHER HAZEL NA THAMI KUTUA JIJINI MCHANA HUU!!

Mshiriki wa Big brother III Hazel kutoka Malawi, Thami na Hazel wanawasili leo mchana huu katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Malimu Julius K. Nyerere kwa ziara binafsi na wanatarajia kufikia katika Hoteli ya Golden Tulip ambapo saa kumi jioni watakutana na mashabiki wao kwa kupiga picha na kubadilishana mawazo.

Mshiriki wa Big Brother III Thami kutoka Afrika Kusini




You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment