Kuanzia kulia ni Gaston Mcheka katibumkuu wa Albino United Team, Abdull Azizi Mwenyekiti wa Albino United Team, Karama Masoud (Kalapina) Thadeio Fukuda (Gwalu) wasanii wa kikosi cha mizinga wakizungumza na wanahabari katika ukumbi wa idara ya habari maelezo juu ya wimbo wao walioutunga mahsusi kwa ajili ya kampeni ya kutokomeza mauaji ya Albino nchini wimbo huo unaitwa HIP HOP AGAINST ALBINO VIOLENCE.
KIKOSI CHA MIZINGA NA WASANII WENGINE KUPAMBANA NA MAUAJI YA ALBINO NCHINI!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment