BASHI CHOCOLATE CITY IN USA!!


Washington Metro Area (KAPITALI) inawakaribisha Watanzania wote ndani na nje ya Marekani kuja kusheherekea WABONGO MEMORIAL REUNION EXRAVAGANZA kuanzia may 22 hadi may 24 kutakua na michezo mbali mbali,ikiwemo kikapu,netball na mpira wa miguu. RATIBA ni kama ifuatavyo:Ijumaa may 22 usiku,Dj Luke na Dj Kay,watawapa starehe ya Total oldskool down stairs kwa vijana wa zamani na Dj Joe Cat Daddy (3.9 fm wkys)na Dj Seif Upstairs wao watahakikisha Vijana wa sasa hamkai chini. JUMAMOSI may 23: mambo yataanzia 3pm Kwa Nyama choma na kikapu Pazi,Don Bosco na Vjana Kama wewe ulichezea au ulikua mpenzi wa timu moja wapo na uwezo bado upo basi we ruksa kucheza na wasiliana na Noel kupitia http://mail.google.com/mail/h/1u9ma58w3gxhr/?v=b&cs=wh&to=thelinkentertainment@live.com na kufuatiwa na mechi kali ya Yanga na Simba hii mechi itachezwa na wachezaji waliopo nje ya Dc kama ulisha chezea ama kua mshabiki wa Yanga au Simba huo utakua wakati muafaka wakulipiza kisasi na kama utapenda kucheza basi wasiliana na Luke kupitia http://mail.google.com/mail/h/1u9ma58w3gxhr/?v=b&cs=wh&to=lukemusicfactory@live.com JUMAMOSI may 23 usiku ni burudani kama kawaida kwa muziki safi na Madj Joe cat Dady,Seif na Kay watakua chonjo kuhakikisha unapata muziki ile roho inapenda. JUMAPILI may 24 mambo yataanzia 3pm kwa nyama choma na Netball kwa akina dada wa Dc v/s akina dada kutoka nje ya Dc huu ni mechi ya kwanza na ya aina yake katika hitoria ya Bashi hizi,na Baadae itafuatiwa na Mechi ya Kukata na shoka ya wapinzani wa jadi kati ya Bongo United fc (DC) na Houston Stars (Tx) na Dc wanatuma ujumbe Houston,"NYAMA IKISHA INGIA BUCHANI HAIRUDI KUA NG'OMBE" mkichungulia tu ni mabao yanawasubili.. JUMAPILI may 24 usiku ni burudani mpaka majogoo,Dj Luke na Dj Kay kama kawaida yao Down stairs na muziki wao wa kimataifa,juu atakua Dj Joe Cat Daddy na Dj Seif wakikusuuza roho Hip Hop na R & B Karibu sana Dc na wewe uwe mmoja wao ya wale wengi watakaokuwepo kwenye muungano huu wa Wabongo,kwa taarifa zaidi na address bofya http://www.wabongoreuniondc.com/

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment