Magari haya yalinaswa na Camera ya FULLSHANGWE MATUKIO usiku wa manane yakiwayamegongana katikati ya barabara pale Rose Garden barabar inayounganisha Sayansi na kwa Mwalimu Julius K. Nyerere na kusababisha usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara hiyo kushindwa kupita huku wamiliki wa magari hayo ambao hawakutaka kutaja majina yao wakibishana kuhusu nani kasababisha ajali hiyo lakini inelekea mmoja wao alikuwa amelewa.
MZINGA ROSEGARDEN USIKU WA MANANE!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment