Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais(Muungano) Mohammed Seif Khatib akiongea na waandishi wa habari leo katika Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere mara baada ya kuwasili na timu ya taifa kutoka nchini Ivory Coast.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais(Muungano) Mohammed Seif Khatib (mstari wa mbele katikati) akiwa na Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo Joel Bendera na Kocha mkuu wa timu ya Taifa Marcio Maximo katika picha ya pamoja wachezaji wa timu ya Taifa mara baada ya timu hiyo kuwasili kutokea nchini Ivory Coast kwenye mashindano ya kombe la CHAN.
0 comments:
Post a Comment