BSS TANGA YAVUTA VIJANA WENGI!!

Baadhi ya washiriki waliojitokeza katika mchujo wa Bongo Star Search mkoani Tanga wakiwa katika mstari mrefu tayari kwa ajili ya usaili, katika usaili huo washindi wanne walipatikana mkoani humo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment