VODACOM YATOA ZAWADI KWA WATEJA WAKE!!

Meneja masoko upande wa mauzo Vodacoma Upendo Richard kulia akimkabidhi zawadi ya Friji David Maiko mkazi wa Msasani jijini ambaye ni mmoja wa wateja walioshinda na kupata zawadi katika maduka mbalimbali ya Vodacom yaliyoko nchini kote Vodacom imeamua kuwazawadia wateja wake walikokuwa wakinunua mara kwa mara simu katika maduka yake yaliyoko sehemu mbalimbali.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment