ROGERS LUCAS AIINGIZA "RUDI" SOKONI!!


Albam ya mwanamuziki Rogers Lucas tayari iko sokoni ina nyimbo 8 ambazo ni Rudi, Niambie leo, Vipi?, Jasho la Upendo, Ni Wewe, Si Utani, Hayupo na Mama. kwa mawasiliano zaidi ili kuipata CD hiyo piga simu No. 0732-334-334

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment