Wanafunzi wapagawa na Maadam Litah Paulsen!!

Wanafunzi wa Ekenforde Tanga wakipiga picha ya pamoja na jaji mkuu wa Bongo Star Search Litah Paulsen mara baada ya kumalizika kwa mchujo na kuwapata wawakilishi wa mkoa huo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment