ZIARA YA MAMA SALMA KIKWETE MKOANI IRINGA KATIKA PICHA!!

Mama Salma Kikwete akigawa vitabu mbalimbali vya elimu ya sekondari kwa wanafunzi wakati alipotembelea shule ya Sekondari ya Idodi iliyopo jimbo la Isimani Iringa Vijijini wakati alipofanya ziara katika mkoa huo hivi karibuni.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment