TUZO ZA KILIMANJARO MUSIC AWARD HADHARANI!!

Meneja wa bia ya Kilimanjaro Lager Oscar Shelukindo akionyesha moja ya tuzo za Kilimanjaro Music Award 2009 zitakazotolewa kwa washindi wa tuzo hizo kulia anayeshuhudia ni John Dilinga mmoja wa wanakamati wa tuzo hizo na kushoto ni Afisa kutoka BASATA mzee Luhala katika mkutano uliofanyika leo jijini.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment