THAMI NA HAZEL WALA CHAKULA CHA USIKU NA MASHABIKI WAO!!

Hazel na Tahami wakiwa wamekumbatiana kwa furaha mara baada ya kula chakula na mashabiki wao jana usiku kwenye hoteli ya Mediteraniano Kawe.
Thami wa kwanza na Hazel waliokaa mwanzo kulia wakiwa pamoja na mashabiki wao katika chakula cha usiku kilichoandaliwa katika hoteli ya Mediteraniano iliyopo Kawe katika ufukwe wa bahari ya hindi jana usiku washiriki hao wa Bigbrother mwaka jana wapo nchini kwa ziara binafsi na kukutana na mashabiki wao ambapo leo watatembelea Zanzibar baada ya jana kutembelea Bagamoyo.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

1 comments:

  1. wanakaribishwa Bongo yetu wakati wowote!

Post a Comment