Makamu wa Rais wa Serikali ya wanafunzi wa IFM Peter Sarungi akizungumza na wanahabari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo kuelezea shindano la Miss IFM linalotarajiwa kufanyika tarehe 17 mwezi Aplrili mwaka huu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Peter ameongeza kuwa wanaomba wadhamini zaidi wajitokeze ili kufanikisha shindano hilo ambapo kwa sasa ni makampuni mawili tu yamejitokeza ambayo ni Clouds Fm na Chanel Ten katini Mangare Zabron mwanakamati wa maandalizi ya mashindano hayo na mwisho ni Lutobeki Razaro.
MISS IFM KUPATIKANA APRILI 17!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment