Rais wa oganizesheni ya ngumi za kulipwa Yassin Abdalla amezungumza na wanahabari leo katika ukumbi wa Idara ya habari Maelezo kuhusu mpambano wa masumbwi utakaosukumizwa katika ukumbi wa Ruxury Pub Temeke tarehe 23 mwezi huu kati ya Karama Nyalawila na Hussein Chiwa, mpambano huo utakuwa wa uzito wa kg 72 (Middle) na ni wa kugombea ubingwa wa taifa TPBO round 10, na hao katika picha ndiyo mabondia watakaopambana siku hiyo kulia ni Karama Nyalawila na kushoto ni Hussein Chiwa aliyewanyanyua mikono ni promota wao William Ng'ingo
BONDIA NYALAWILA ATAMBA KUMMALIZA HUSSEIN CHIWA!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment