SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU TFF KUMUONGEZEA MKATABA WA MWAKA MMOJA MAXIMO!!

Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Kapt. George Mkuchika akiongea na waandishi wa habari juu ya tamko la Serikali kuhusu T.F.F kumwongezea kocha wa timu ya Taifa Marcio Maximo mkataba wa mwaka mmoja. Mkutano huo ulifanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo jijini Dar es Salaam waziri pia amepongeza kiwango cha timu ya taifa na kumshukuru kocha Mrcio Maximo kwa kazi nzuri aliyoifanya kulia ni Naibu waziri wa wizara hiyo Mh. Joel Bendera.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment