Safari lager nyama choma competition katika picha!!

Majaji wa shindano la Safari Lager Nyama Choma wakionja viwango vya nyama katika moja ya bar jijini Dar
Meneja wa bia ya Safari, Fimbo Butallah akiwa na majaji wa shindano la Safari Lager Nyama Choma katika baa ya Africenter Ilala tayari kuanza mchakato wa ukaguzi.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment