RAIS JK AREJEA KUTOKA UINGEREZA!!

Rais Jakaya Kikwete akiongea na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu J. K. Nyerere leo mchana akitokea Uingereza alikokwenda kwenye mkutano wa maandalizi ya mkutano wa G20 utakaofanyika mwanzoni mwa mwezi ujao huko Uingereza.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment