MITI NI MUHIMU SANA KWETU WOTE TUNAWAJIBIKA KUPANDA NA KUITUNZA!!

Sehemu ya mandhari katikati ya jiji la Dar es salaam eneo la posta kama inavyoonekana ikivutia na kupendeza kutokana na miti iliyopandwa katika eneo hilo. Hii ni changamoto kwa wananchi kushiriki kikamilifu katika zoezi la upandaji miti usafi na utunzaji wa mazingira ili kulifanya jiji la Dar es salaam na maeneo mengine ya miji kuvutia zaidi.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment