KITABU KINACHOELEZEA MATATIZO YA UVIMBE KATIKA KIZAZI KWA WANAWAKE CHAZINDULIWA!!

Mgeni wa heshima katika uzinduzi huo ambaye ni mkurugenzi wa tiba Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii Dr. Charles Massambu katikati, Dr Merdadi Kalemana Hama cha elimu ya watoto CHESO kushoto na Dr. Lawrence Chipata kulia kutoka Manispaa ya Temeke wote kwa pamoja wakionyesha kitabu cha Understand Uterine Fibroids to Reduce Marternal Mortality kinachoelezea matatizo ya uvimbe katika kizazi kwa wanawake na tiba yake mara baada ya uzinduzi ambao ulienda pamoja na siku ya wanawake duniani uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo leo.
Dr. Lawrence Chipata kutoka Manispaa ya Temeke akitoa maelezo kwa kutumia mchoro kwa waandishi wa habari na wadau wengine wa Afya juu ya matatizo yanayowapata wanawake wanapopata matatizo ya uvimbe katika mfuko wa uzazi katika uzinduzi wa kitabu cha Understand Uterine Fibroids to Reduce Maternal Mortality kinachoelezea matatizo hayo na tiba yake uliofanyika kwenye ukumbi wa Idara ya habari Maelezo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

1 comments:

  1. kitabu kinapatikana wapi na kwa bei gani?

Post a Comment