CHIBULUNJE ATEMBELEA BANDA LA ZAIN!!


Mfanyakazi wa Idara ya Mauzo ya Zain Tanzania, Tausi Sunzu akitoa maelekezo ya jinsi ya kutumia huduma za Zap, Rewardz na Pamoja 10 kwa Naibu Waziri wa Miundombinu, Hezekiah Chibulunje alipotembelea banda la Zain, Dar es Salaam jana, ikiwa ni sehemu ya matukio ya wiki ya 'Shangwe na Zain' ya kupeleka chapa ya Zain kwa wananchi.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment