Shirika la umeme nchini Tanesco limetangaza kujitoa kwenye mchakato wa ununuzi wa mitambo ya kuzalishia umeme kutoka kampuni ya Dowans, msimamo huo umetolewa leo na mkurugenzi wa shirikia hilo Bw. Idrissa Rashid pichani hapo juu katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika makao makuu ya shirika hilo Ubungo leo asubuhi jijini Dar es alaam kwa habari zaidi fuatilia vyombo vya habari
TANESCO YAJITOA MCHAKATO WA UNUNUZI WA MITAMBO YA KUZALISHA UMEME KUTOKA DOWANS!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment