QUEEN VERO AKIWAPA SHANGWE MASHABIKI!!

Hii ni moja ya Stail za Queen Vero mnenguaji wa Bendi ya Kalunde akifanya mambo makubwa katika moja ya onyesho lao lililofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa New Kunduchi Bay Resort kazi kwenu wadau mambo ya kushangweka hayo si mchezo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment