JAMANI UTAMU WA DAFU HUO!!

Wailokuwa washiriki wa Bigbrother III Thami na Hazel wakipata raha ya dafu huku wakiwa wamevalia kofia zilizosukwa kwa majani ya makuti mabichi wakati walipotembelea Zanzibar hivi karibuni wakati walipofanya ziara binafsi nchini kama unavyowaona mdau wanaonekana kufurahia utamu wa maji ya Madafu.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment