Mkurugenzi wa kampuni ya Best man Promotion Aristois Nikitas akiongea na waandishi wa habari kuelezea mpambano wa ngumi wa mkanada wa kimataifa utnaotambuliwa na shirikisho la ngumi la kimataifa ICBInternational Circuit Boxing utakaofanyika mjini Morogoro kwenye uwanja wa Jamhuri Februari 13 mwaka huu kati ya Rashid Matumla na Francis Cheka Pambano hilo linadhaminiwa na kampuni ya simu za mikononi Vodacom na katikati ni George Rwehumbiza meneja mawasiliano na Udhamini na mwisho ni Emmanuel Mlundwa Rais wa PST kwa kupata habari zaidi angalia hilo tangazo chini.
VODACOM YADHAMINI PAMBANO LA NGUMI!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment