Wakina mama wakiwa wamevalia sare huku wakipunga Bendera za Mataifa ya Tanzania na Zambia wakati wa mapokeza ya Rais wa Zambia Mh. Rupiah Banda wakati alipowasiri kwenye uwanja wa ndege kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere jana.
Rais Rupiah Banda wa Zambia akiangalia kikundi cha ngoma kilichokuwa kikitoa Burudani wakati mapokezi ya Rais huyo kulia ni mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Raisi Rupiah Banda wa Zambia akikagua Gwaride la Heshima aliloandaliwa mara baada ya kwasili nchini kwa ziara ya siku mbili akiwa nchini Rais Banda atatembelea Tazama Pipeline na Tazara.
0 comments:
Post a Comment