SERENGETI OUT OF AFRICA NIGHT YAJA BILLICANAS!!

Christiane Bella Kiongozi wa Akudo Impact akielezea waandishi katika club hiyo leo maandalizi yao na mipango ya burudani watakaoitoa kwa mashabiki katika Serengeti Out of Africa Night unaoanza rasmi kesho kwenye Club hiyo ya usiku wanaofuatia katika picha ni Bahati Singh meneja masoko na matukio SBL, Stella Adams Meneja masoko na uhusiano Billicanas na Mohamed Bawazir meneja matukio Billicanas.
Mohamed Bawazir meneja matukio wa Club Bilicanas akiongea na wanahabari katika club hiyo juu ya burudani mpya iliyoanzishwa itakayofanyika kila jumatano usiku inayaitwa Serengeti Out of Africa Night itakayoanza rasmi kesho kwenye club hiyo ya usiku ambapo kiingilio kitakuwa shilingi 10000 kwa kipindi hiki kuelekea sherehe za Vilentine Bendi maarufu ya Akudo Impact atatoa Burudani na usiku huo unadhaminiwa na Serengeti Brewers limited katika picha wanaofuatia ni Stella Adams meneja masoko na uhusiano Billicanas, Bahati Singh meneja masoko na matukio SBL Christiane Bella kiongozi wa Akudo Impact na Nandi mwiyombela Afisa SBL.


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment