Camera ya FULLSHANGWE ilitinga katika ukumbi wa Mango Garden na kumfuma Rapa wa bendi ya Diamond Musica Mao Santiago akiwapeleka puta wanenguaji wa bendi hiyo vilivyo huku wakionyesha staili mbalimbali za kupagawisha mashabiki wao, kwakweli mashabiki wao walifurahi kupata burudani kali kama ile ya usiku wa kuamkia leo katika ukumbi huo mdau kwa matukio zaidi katika picha FULLSHANGWE inakumuvuzisha chini zaidi uone mambo yalivyokuwa usiku huo.
USIKU WA KUAMKIA LEO FULLSHANGWE ILIJIMUVUZISHA KWENYE UKUMBI WA MANGO GARDEN, PATA VITU MDAU!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment