Kiongozi wa Bendi ya Kalunde Kapt. Deo Mwanambilimbi kulia akicheza na mwanamuziki wa Bendi hiyo Hawa Kasomo wakati bendi hiyo ilipofanya onyesho lake jana kwenye ukumbi wa New Kunduchi Bay Resort Mbezi Beach, bendi hiyo leo inatimiza miaka miwili toka ianzishwe na itafanya onyesho la kukata na shoka pale Rainbow Mbezi Beach katika usiku wa wapendanao Valentine itakuwa si mchezo wadau.
KALUNDE BAND KUTIMIZA MIAKA MIWILI LEO!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comments:
Hi John,mambo vp Mpiganaji,binafsi nafarijika sana unavyotuletea habari na picha mbalimbali za wasanii wa nyumbani..Nafarijika zaidi ninapoziona picha za The Kalunde Band...Mwambie Captain Deo big up sana..Pia naomba unifikishie big ups kwa crew nzima ya Kalunde Band akina Mwakichui,Side Seydou,Deborah,John Komba,Mzee mzima Kasaloo,Majuto,Dereva Mnyalu,Hawa,Lola na wenmgine,waambie nawamiss kwa sana tu..Hope utatuwekea picha za leo ndani ya Rainbow...Kazi njema Mpiganaji...DM(Mdogo wa Deo nipo ughaibuni)
Post a Comment