FULLSHANGWE INAWATAKIA VALENTINE NJEMA WOTE!!

Wadau wote wa tovuti ya FULLSHANGWE tovuti yenu ya jamii inawatakia sherehe njema za Valentine leo msherehekee kwa utulivu, upendo, unyenyekevu, hekima, busara, kuhurumiana na kusameheana kikubwa mkimtanguliza mungu katika maisha yenu yote kwani ni mungu ndiye aliyeona mnao umuhimu wa kuwa na uhai na kuishi duniani kwa upendo mkuu nina imani ujumbe huu utaimarisha upendo kati yenu wote wenye kupendana na kutakiana amani asanteni na nawatakia siku njema tena.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment