Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Timu ya taifa Taifa Stars, makocha mawaziri na wadau mbalimbali wanaodhamini timu hiyo Ikulu jana mara baada ya chakula cha mchana alichoiandalia timu hiyo na kuzungumza na wachezaji kabla ya kuondoka kwenda Ivory Coast mapema mwezi huu katika mashindano ya mataifa huru ya afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN)
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa masoko wa Vodacom Efraim Mafuru kulia wakati wa chakula cha mchana ambacho Rais Jakaya aliwaandalia wachezaji Viongozi na wadau mbalimbali wa timu ya taifa Taifa Stars jana Ikulu Taifa Stars inatarajiwa kwenda Ivory Coast mapema mwezi huu kwa ajili ya michuano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN)

0 comments:
Post a Comment