BENDI YA SIKINDE NGOMA YA UKAE YAJITENGA RASMI NA DDC!!


Iliyokuwa bendi ya DDC Mlimani Park Orchestra leo imefanya mkutano katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo na kutangaza rasmi kuwa bendi hiyo sasa itajulikana kama Mlimani Park Orchestra na kuachana na shirika la DDC kutokana na kutoelewana baadhi ya mambo ambayo yalikuwa yakihitajika katika mazungumzo ya makubaliano kabla ya bendi hiyo kuanza kujiendesha yenyewe kiongozi wa bendi hiyo Shabaan Dede ameiambia tovuti ya FULLSHANGWE kuwa jina hilo jipya litaanza kutumika Rasmi Tarehe 1 mwezi March mwaka huu katika, picha ni kundi zima la wanamuziki wa bendi hiyo kabla ya kuaza kwa mkutano leo asubuhi.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment