VODACOM YAMWAGA ZAIDI YA MILIONI 50 KILI MARATHON 2009!!

Katibu mkuu wa Chama cha Riadha nchini RT Suleiman Nyambui akiishukuru Vodacom kwa kudhamini mbio za kilomita 5 kwa zaidi ya milioni 50 katika mashindano ya Kilimanjaro Marathon zitakazofanyika tarehe 1 mwezi March mkoani kilmanjaro, wanaofuatia katika picha ni Emillian Rweijuna meneja Udhamini Vodacom, George Rwehumbiza meneja udhamini na mawasiliano na Miss Tanzania2008 Nasreem Karim.
Meneja udhamini wa Vodacom Emillian Rweijuna akiongea na wanahabari katika ukumbi wa mikutano wa DICC PPF Tower leo kuelezea Udhamini wa kampuni hiyo katika mashindano ya Kilimanjaro Marathon ambapo wamedhamini mbio za km5 zitakazojulikana kama %km FUN FUN kwa zaidi ya milioni 50 mbio hizo zinatarajiwa kufanyika mkoani kilimanjaro tarehe 1 mwezi March, anayefuaatia ni katibu mkuu wa chama cha Riadha nchini RT Suleiman Nyambui na mwisho ni Nector Pendaeli meneja mawasiliano.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment