NGOMA AFRICA WAFANYA MAMBO MAKUBWA FINLAND!!

The Ngoma Africa Band yenye makazi yake Ujerumani ,wakitoa burudani kali ya kukata na mundu UFINI kwenye tamasha la 'FEST AFRIKA WINTER JAM.
Chini ya uongozi wake Ras Makunja waliweza kukonga vilivyo mashabiki na Walionyesha uwezo mkubwa wa kulitawala jukwaa kwa,uimbaji,uchezaji na kuwashirikisha mashabiki.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

2 comments:

  1. hawa jamaa ngoma africa moto wao hauna mpinzani,kazi ya kumudu jukwaa na kuwapeleka kasi washabiki wanaiweza

  2. Ras Makunja na mzimu wa dansi wake ngoma africa bendi,sijapata kuona mwanamziki wa dansi anayejiamini kama huyu bwana kichwa ngumu Ras Makunja

Post a Comment