Bingwa wa Dunia wa (WKN) World Kickboxing Network Japhet Kaseba akpozi katika picha mara baada ya kuzungumza na wana habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo leo juu ya mpambano wake na mtaliano Digrigoris Cosino utakaofanyika tarehe 1/ March/2009 jijini Dar. Digrigoris ni bingwa wa WKN nchini Italia.
JAPHET KASEBA KUZIPIGA NA MTALIANO MARCH 2009!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment