Katibu mkuu wa chama cha Riadha nchini Suleiman Nyambui akizungumza mbele ya waandishi wa habari katika ofisi sza Benki ya Starndard Chatered jijini leo wakati benki hiyo ilipokabidhi tiketi mbili za wanariadha Jumanne Tulway na Sara Maaja wanaokwenda nchini India kwa ajili ya kushiriki mbio ndefu za Km 40 na 42 zinazojilikana kama Mumbai Marathon zitakazoanza kutimua vumbi Januari 18 jumapili ijayo Benki ya Starndard Chartered imekuwa ikikidamini chama cha Riadha nchini kwa muda mrefu sasa, katikati ni mwanariadhaJumanne Tulway na kulia ni Meneja mkuu mahusiano wa benki hiyo Lucy Kiwele.
Meneja mkuu mahusiano wa Benki ya Starndard Chartered Lucy Kiwele akikabidhi Tiketi ya ndege ya kwenda India na kurudi Dar. Mwanariadha Jumanne Tulway huku Mwanariadha mwingine Sara Maaja katikati akishuhudia. wanariadha hao watashiriki mashindano ya Mumbai Marathon yanayoanza Januari 18 jumipili ijayo nchini India.
Meneja mkuu mahusiano wa Benki ya Starndard Chartered Lucy Kiwele akikabidhi bendera kwa wanariadha Jumanne Tulway kulia na Sara Maaja katikati wanaokwenda nchini India kushiriki mashindano ya Mumbai Marathon yanayotarajiwa kuanza Januari 18 mwaka huu benki hiyo imewadhamini wanariadha hao kwa kuwapa tiketi za ndege za kwenda India na kurudi Dar es alaam

0 comments:
Post a Comment