Rais Jakaya Kikwete ambaye alikuwa mgeni wa Heshima katika Hafla ya Taasisi ya Tanzania House Of Talent (THT) Kushoto akiwa amekaa na mkurugenzi wa taasisi hiyo Bw. Ruge Mutahaba kushoto wakionekana kufuatilia jambo katika hafla hiyo, taasisi hiyo ilitimiza miaka mitatu toka ianzishwe, hafla hiyo ilifanyika kwenye viwanja vya Karimjee jijini jana. picha na Abdalla Mrisho wa Grobal Publishers.
Mwanamuziki Rady Jay Dee akiongea katika hafla hiyo Jay Dee ni mmoja wa wanamuziki waliofanikiwa katika fani hiyo ya muziki
0 comments:
Post a Comment