MTU MZIMA FAT JOE, EVE E. NA P. SQUARE GYMKANA PALIKUWA HAPATOSHI FULL SHANGWE NA MZUKA

Fat Joe asifu bongo na amani yake pata matukio yaliyojiri kwenye onyesho hilo katika picha.

Mtu mzima akishusha mistari palikuwa hapatoshi.

Mtu mzima Fat Joe akinyooshavidole viwili juu kama ishara ya amani.

Mikono haikushuka chini hivyo hata pochi nadhani zilikuwa salama kabisa.



P. Square nao wakafanya mambo makubwa.

Eve E akiimba na mashabiki.

Eve E kati akiimba kulia Lilian internet wa Twanga Pepeta na vidosho wengine.

Eve E akiingia jukwaani.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment