Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja akiongea na waandishi wa habari jana kuhusu udhibiti wa bei ya mafuta nchini nje ya ukumbi wa Karimjee uliopo jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza kufungua mjadala wa wazi.Kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa EWURA Haruna Masebu (aliyevaa suti nyeusi).
Baadhi ya wamiliki wa vituo vya mafuta wakifuatilia kwa karibu mjadala wa wazi jana kuhusu udhibiti wa bei ya mafuta nchini katika ukumbi wa Karimjee uliopo jijini Dar es Salaam .
Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja akifungua mjadala wa wazi jana kuhusu udhibiti wa bei ya mafuta nchini katika ukumbi wa Karimjee uliopo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa EWURA Haruna Masebu na Kushoto ni Kaimu Mwenyekiti wa bodi ya EWURA Eng. Vicent Siwere.
Picha na Anna Nkinda – Maelezo
0 comments:
Post a Comment