ORIGINAL KOMEDI NA TMK FAMILY WAFANYA MAMBO!

TMK WANAUME FAMLY wakikamua katika tamasha la Familia na wafanyakazi wa kampuni ya Sigara mwishoni mwa wiki.





Wakili mkomoaji namba moja kulia na wakili mkomoaji namba mbili wakifanya vitu vyao kwenye tamasha la Familia lililofanyika kwenye viwanja vya sigara Chang`ombe, tamasha hilo lililoandaliwa na kampuni ya Sigara TCC kwa ajili ya kuwakutanisha wafanyakazi wa kampuni hiyo na Familia zao

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment