Afisa Elimu Mkuu Idara ya Uratibu wa Elimu ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI akimweleza ,Naibu waziri wa TAMISEMI Mhe. Aggrey Mwanri namna ya usimamizi na uendeshaji wa Elimu wakati wa sherehe zakutimiza mwaka mmoja tangu KILIMO KWANZA kuanzishwa wakati wa maonyesho ya nanenane mjini Dodoma.
Alfred Katata (wa kwanza kushoto ) wa Kibaha Education Centre akimwelezea Naibu Waziri wa (TAMISEMI)namna ya Uzalishaji wa kuku kwa ajili ya kupiga vita Umasikini wakati wa Maonyesho ya nanenane mjini Dodoma. PICHA NA ANNA ITENDA -MAELEZO
wanafunzi wa St. Home Primary School wakifurahia Magazeti ya Nchi yetu yanayotengenezwa na Idara ya Habari Maelezo na magazeti ya Utamaduni wetu yanayotengenezwa na Wizara ya Habari,Utamaduni na Michezo wakati wa Maonyesho ya Nanenane Mkoani Dodoma walipotembelea banda hilo.

0 comments:
Post a Comment