IMMMA Advocates Walipotembelea Wagonjwa Ocean Road Hospital hivi karibuni!!

Protase Ishengoma na Sadock Magai ambao ni wakurugenzi wa IMMMA Advocates kampuni ya wanasheria wakiwajulia hali wagonjwa kwenye hospitali ya Ocean Road wakati walipowatembelea na kuwapa misaada mbalimbali hivi karibuni jijini Dar es salaam.
Fatma Karume, Protase Ishengoma na Gaspar Nyika, wakurugenzi wa IMMMA Advocates wakito zawadi kwa wagonjwa.

Wafanyakazi wa IMMMA Advocates wakitoa zawadi mbali mbali kwa wagonjwa waliopo katika wodi mbalimbali hospitalini hapo.

Baadhi ya zawadi mbali mbali zilizotolewa na Kampuni ya IMMMA Advocates kwa ajili ya wagonjwa wa hospitali ya Ocean Road.
Picha ya pamoja ya wafanyakazi wa IMMMA Advocates waliowatembelea wagonjwa wa hospitali ya Ocean Road.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment