MAONYESHO YA NANE NANE DODOMA KATIKA PICHA!!

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. John Chilligati ( wa tatu kushoto )akiwa na mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Ujenzi wa Teknolojia mpya ya kisasa (space Creation Ltd) Bwana Suchek Sanjay (wa pili kushoto )akikabidhi Nyumba ya mfano iliyojengwa kwenye Maonyesho ya nanenane Mkoani Dodoma.
PICHA NA ANNA ITENDA WA MAELEZO.
Mkurugenzi wa Teknohama (ICT) wa Ardhi Bwana Elias Nyabusani wa kwanza kushoto akimwonyesha Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi nyumba iliyojengwa na Kampuni ya Ujenzi kwa Teknolojia mpya (Space Creation LTD)Bwana Suchek Sanjay kwenye maonyesho ya nanenane mjini Dodoma.
Bwana Pato Ninje (wa kwanza kulia) wa Wakala wa Taifa wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi(NHBRA)akimwonyesha matofali ya udongo saruji yanayofungamana Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Capt. John Chiligati wa pili kulia alipotembelea maonyesho ya Nanenane mjini Dodoma.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Ujenzi wa Teknolojia mpya ya kisasa Bwana Suchek Sanjay (kushoto )akipeana mkono na Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Capt. John chilligati (kulia) akikabidhi Nyumba iliyojengwa na Kampuni hiyo kwenye Maonyesho ya Nanenane mjini Dodoma .

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment